Nembo ya Serikali ya Tanzania
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano
Zungumza, Chukua Hatua, Shirikiana, Ungana…..
Nembo ya NICTBB

Capacity: (Layer 2 & IP Transit)

Capacity: (Layer 2 & IP Transit)

Capacity: (Layer 2 & IP Transit)

September 21, 2025
NICTBB inafanya kazi kama biashara ya jumla ikilenga kwenye miunganisho ya huduma. Huduma zinatolewa kwa watoa huduma pekee walioruhusiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Standard Synchronous Digital Hierarchy (SDH) na Standard IP Ethernet zinatumiwa kutoa huduma kutoka mwanzo hadi mwisho katika hali ya kulindwa. Huduma hizi zinapatikana katika upana wa bendi zifuatazo: Capacity: (Layer 2 & IP Transit) 1GbE 2.5Gbps 10Gbps 40GbE 100GbE 200GbE Upto 10 Terabytes upon demand